Fahamu Vitu Ambavyo ‘Sex Dolls’ Wanaweza Kuvifanya


Image result for DOLLS SEX
Midoli ya ngono yaani ‘sex dolls’ bado ni mada kwenye mitandao ya kijamii na imesababisha watu kutoa maoni mbalimbali. Baadhi ya wanaume wametoa maoni yao kwamba midoli hiyo ni bora kuliko wanawake huku baadhi ya wanawake wanasema kwamba midoli hiyo haitodumu kwa mdaa mrefu.

Vitu anavyoweza kuvifanya ni kama;

1. Anatumia betri ambazo zinaweza kuchajiwa kama vile simu za mkononi na laptops.

2. Ameundwa ili kukidhi matakwa ya kimapenzi kama vile mwanadamu anavyofanya.

3. Anaweza kufanya mambo mengi wakati wa kujamiiana, kama vile kuzungumza lugha ya kimapenzi, kutajaa jina lako, kukaa mkao wowote uupendao.

4. Ni mpenzi mzuri na anaweza kukushirikisha kwenye majadiliano kama vile mwanadamu anavyofanya.

5. Anauwezo wa kutuunza vizuri mwili wake.

6. Mdomo wake pia ni kama wa binadamu.

7. Ngozi yake ni laini sana na yenye hisia kama ngozi halisi ya binadamu na kampuni ya ROBOTIX ina mpango wa kuwafanya midoi hao kuwa na unyevu kama ule wa binadamu halisi wakati wa ngono.

8. Unaweza kumfanya aongee lugha yoyote uipendayo

Midoli hiyo ya ngono inapatitakana kwa kiasi cha Dola 2500 na wanaweza kuwekewa shepu, sura na hata rangi ya ngozi unayoipendelea. Kampuni hiyo ya ROBOTIX inauza zaidi ya midoli 600 kila mwaka Marekani pekee.
Bongo5
Fahamu Vitu Ambavyo ‘Sex Dolls’ Wanaweza Kuvifanya Fahamu Vitu Ambavyo ‘Sex Dolls’ Wanaweza Kuvifanya Reviewed by Admin on January 23, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.