JOTI:Kiduku hakiwezi kuzuia nisifunge ndoa, Mimi ni Msanii na kuna maisha baada ya Ndoa

Image result for NDOA YA JOTI
Jumamosi iliyopita ilikua harusi ya Mchekeshaji maarufu Tanzania Lucas Muhavile maarufu kama Joti ambapo gumzo lilikua pia nywele zake alizonyoa kwa staili ya kiduku na kuingia nacho Kanisani jambo ambalo lilifanya baadhi ya watu kuongea sana kwenye mitandao.
Leo AyoTV na millardayo.com zinae Joti kwenye Exclusive Interview ambapo amewajibu waliomsema kuhusu kiduku chake, >>> “Sidhani kama kuna sheria au kuna maandiko yameandika kwamba ukinyoa hivi hutakiwi kufunga ndoa, hii sanasana iko kwenye maadili tu
“Nilimuomba Padri na akanielewa na kuniambia wewe ni Msanii tunajua cha kufanya usisuke tu, fumua hizo nywele ziwe tu kawaida zibanebane vizuri”
UNAWEZA KUMTAZAMA JOTI MWENYEWE KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI 
SOURCE: AYO TV
JOTI:Kiduku hakiwezi kuzuia nisifunge ndoa, Mimi ni Msanii na kuna maisha baada ya Ndoa JOTI:Kiduku hakiwezi kuzuia nisifunge ndoa, Mimi ni Msanii na kuna maisha baada ya Ndoa Reviewed by Admin on October 31, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.